Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2021

MFAHAMU MFALME WA NYIKA YANI SIMBA

Picha
  Mfahamu mnyama simba kiundani  Simba ni miongoni mwa wanyama ambao ni jamii ya paka, ukiondolea mbali kwamba ndiye mnyama mkubwa anayewinda katika jamii yao hiyo, lakini pia ni wanyama ambao hupenda kuishi katika makundi makundi, kwa lugha nyingine naweza sema wanaishi kifamilia kama ilivyo kwa binadamu, na familia zao huweza kuwa na simba takribani kumi na watano. Njia rahisi ya kuwatambua kwa jinsia zao ni muonekano pamoja na majukumu, wakati simba dume shingoni likiwa limejaa manyoya Mengi, simba jike huwa na manyoya sawa mwili mzima, hapo ni kwa mtizamo wa namna wanavyoonekana. Katika majukumu Simba hugawana, kazi ya kuhakikisha chakula cha kutosha kinapatikana katika familia hilo ni jukumu la simba jike, na simba jike aendapo mawindoni Jukumu lA simba dume ni kulinda mipaka tuu, uzito wa mnyama huyu huwa kati ya kilo 120 mpaka 240 inategemea na umri pamoja na afya. Uhai wa simba kuishi ni kati ya miaka 10 mpaka 14 lakini kwa simba wa Africa hufika hadi miaka 17, Simba h...